The Incognito Member Joined Apr 1, 2012 Posts 44 Reaction score 8 Jan 18, 2015 #4,221 Bongo ni mji ambao hafukuzwi mtu..
Seto JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 953 Reaction score 56 Jan 18, 2015 #4,222 mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kuvaa nguo zinazoacha sehemu zake za faragha ziwe wazi....
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,816 Jan 18, 2015 #4,223 Wazi wazi wadada wanatembea uchi.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Jan 18, 2015 #4,224 Uchi ni ile hali ya mtu kuweka maungo yake ya mwili wazi pia ni sehemu ya siri ya mwanamke
Seto JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 953 Reaction score 56 Jan 18, 2015 #4,225 Mwanamke ni kumbe wa ajabu ambaye Mungu amembariki ubongo wenye uwezo wa kufanya mambo mengi kwa pamoja
Mwanamke ni kumbe wa ajabu ambaye Mungu amembariki ubongo wenye uwezo wa kufanya mambo mengi kwa pamoja
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,687 Jan 18, 2015 #4,226 Seto said: Mwanamke ni kumbe wa ajabu ambaye Mungu amembariki ubongo wenye uwezo wa kufanya mambo mengi kwa pamoja Click to expand... Pamoja na hayo mwanamke ni mwenye upendo wa kweli
Seto said: Mwanamke ni kumbe wa ajabu ambaye Mungu amembariki ubongo wenye uwezo wa kufanya mambo mengi kwa pamoja Click to expand... Pamoja na hayo mwanamke ni mwenye upendo wa kweli
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,816 Jan 18, 2015 #4,227 Heaven on Earth said: Pamoja na hayo mwanamke ni mwenye upendo wa kweli Click to expand... Ngoja kwanza nigune...mmmmmmhhhhh
Heaven on Earth said: Pamoja na hayo mwanamke ni mwenye upendo wa kweli Click to expand... Ngoja kwanza nigune...mmmmmmhhhhh
M my name is Member Joined Dec 7, 2014 Posts 17 Reaction score 5 Jan 18, 2015 #4,228 mmmmmmhhhh! ushaaribu mtiririko
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Jan 18, 2015 #4,229 Mtiririko lazima ufuatwe bandugu
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,415 Reaction score 119,473 Jan 18, 2015 #4,230 Bandugu mwenzenu nina njaa
HOPECOMFORT JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 3,921 Reaction score 6,646 Jan 18, 2015 #4,231 Njaa mapema yote hii!!
mahirtwahir JF-Expert Member Joined Jan 12, 2013 Posts 613 Reaction score 313 Jan 18, 2015 #4,232 Hii ndio ya mwisho
Khalidoun JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 2,835 Reaction score 4,464 Jan 18, 2015 #4,233 Mwisho wa hii thread ni pale tu Mods watakapoifuta au JF ikitoweka duniani
codyz Member Joined Jan 7, 2015 Posts 82 Reaction score 24 Jan 18, 2015 #4,234 mwisho kabisa nasema asanteni kwa kushiriki ushindi tayari ninao
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Jan 18, 2015 #4,235 Ninao madadaz na makakaz wengi ambao wote tayari wameshaoa na kuolewa bado mimi tu..
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,816 Jan 18, 2015 #4,236 Mimi tu ndio siwezi kushindwa na vitu vidogo kama hivi.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Jan 19, 2015 #4,237 Hivi wewe grafani11 hujaona hapo kama neno la mwisho lilikua tu?? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,415 Reaction score 119,473 Jan 19, 2015 #4,238 mahondaw said: Hivi wewe grafani11 hujaona hapo kama neno la mwisho lilikua tu?? Click to expand... Tu ni ngumu kuanzia sentensi kwani hujui au ndo kutafuta ushindi kwa nguvu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mahondaw said: Hivi wewe grafani11 hujaona hapo kama neno la mwisho lilikua tu?? Click to expand... Tu ni ngumu kuanzia sentensi kwani hujui au ndo kutafuta ushindi kwa nguvu
Mwendabure JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,138 Reaction score 1,044 Jan 19, 2015 #4,239 Nguvu zimewaishia niangalieni ninavyonyakua ushindi.
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,415 Reaction score 119,473 Jan 19, 2015 #4,240 Ushindi ni wangu mimi