Wa mwisho ndiyo mshindi

Wenyewe hawajui kama siku moja watakuwa wapinzani...according to Lowassa..."hakuna mtu mwenye hati miliki ya nchi hii"
 
Ccm wajipange kwani huu mwaka siyo mzuri na hasa ukizingatia maisha ya mtanzania yalivyokuwa shubiri.
 
Umma wa watanzania ushachoka na ufisadi wa viongozi wa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…