Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Jeshini kuna mateso
Mateso bila chuki
Chuki nichukie roho yangu niachie
Taarabu gani wakati umeharibu mtiririko.
Mishindi ndo mm, kwanini hamtaki kukubali.?
Mwamuzi atapendelea wengi wao hupokea rushwa.
Rushwa ambayo ni adui wa haki
CUF ilishakufa, siku hizi mambo yote UKAWA.
UKAWA lazima impige chini DR SLAA.
dr slaa kazeeka akawe padri 2
Asubuh nitkunyw chai