Wa mwisho ndiyo mshindi


wapi wanauza dagaa
 
Dagaa wakipikwa vizuri,ni watamu maini yanasubiri
 
Upo katika lepe la usingizi ndo maana unaandika kisichoeleweka.

Kijana hujui maana ya upo ndio maana nikauliza, wenye kiswahili upo haitumiki mara mbili, ulizia maana uambiwe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…