Vyote kwa pamoja kuonekana kama mkaa!
Maelekezo yametolewa awali lakini mijitu migumu kuelewa
Maelezo yatolewe tena hili mijitu tuelewe
Atakaefuatia ajitahidi kufuata utaratibu
Kwa nini watu mpo wabishi hivi? Mimi si nilishashinda?
Ufatwe kwa hiari cyo kwa kulazimishana
Dumuzi,?? Itakuwa vizuri mkinipa yake maana
Kuijua ni rahisi tu we tafuta kamusi