sparcus Senior Member Joined Feb 18, 2014 Posts 193 Reaction score 125 May 19, 2015 #5,541 Halijafikia?? Jitahidi kusogelea
maslulkat Senior Member Joined Feb 17, 2013 Posts 107 Reaction score 35 May 19, 2015 #5,542 Kusogelea nilishasogea na mwisho nikapaona nikakuta tumeanza mwanzo
B babjohn Senior Member Joined Apr 23, 2015 Posts 112 Reaction score 16 May 19, 2015 #5,543 Mwanzo nilidhani mshindi ntakuwa mimi...kumbe watu mko serious namna hii
sparcus Senior Member Joined Feb 18, 2014 Posts 193 Reaction score 125 May 19, 2015 #5,544 Hii thread atakuja kuwa mshindi kitukuu changu mwaka 2070
W Winnier J Member Joined May 18, 2015 Posts 7 Reaction score 1 May 19, 2015 #5,545 2070!!! xjui kama hakutatokea magonjwa ya ajabu zaid ya ebola..!
amoneyazan JF-Expert Member Joined Jan 10, 2013 Posts 698 Reaction score 469 May 19, 2015 #5,546 Anajua kuwa unadai kombe wakati wewe sio mshindi halali
Gman-lz Member Joined Feb 23, 2015 Posts 66 Reaction score 5 May 19, 2015 #5,547 Halali ni UKAWA na CCM ni haramu
haidary hassan Member Joined Mar 9, 2014 Posts 69 Reaction score 5 May 19, 2015 #5,549 Haramu nyama ya nguruwe
pepsin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 3,480 Reaction score 6,162 May 19, 2015 #5,550 Nguruwe? Hakuna nyama tamu kama hiyo.Halafu nasikia inapandisha CD4.
007 De Souza JF-Expert Member Joined Feb 19, 2015 Posts 901 Reaction score 483 May 19, 2015 #5,551 Cd4! Kwa Nguruwe?
mahirtwahir JF-Expert Member Joined Jan 12, 2013 Posts 613 Reaction score 313 May 19, 2015 #5,552 Nguruwe ni mnyama mwenye madhar mingi ukimla
haidary hassan Member Joined Mar 9, 2014 Posts 69 Reaction score 5 May 19, 2015 #5,553 Ukimla bata unatakiwa ule nyama ya mbele
mahirtwahir JF-Expert Member Joined Jan 12, 2013 Posts 613 Reaction score 313 May 20, 2015 #5,554 Mbele ndio kunakoliwa nyuma haramu
pepsin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 3,480 Reaction score 6,162 May 20, 2015 #5,555 Haramu maana yake nini?
B babjohn Senior Member Joined Apr 23, 2015 Posts 112 Reaction score 16 May 20, 2015 #5,556 Nini mnakazania hivo stori za uharamu mara uhalali ...ina maana stor nyingne hamna?
G gaspayda Member Joined May 2, 2015 Posts 17 Reaction score 8 May 20, 2015 #5,557 hamna cha diamond kwa wema
M minywele Member Joined Mar 3, 2015 Posts 39 Reaction score 14 May 20, 2015 #5,558 Wema wangu umeniponza!!
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,816 May 20, 2015 #5,559 gaspayda said: hamna cha diamond kwa wema Click to expand... Wema hauozi na ukioza haunuki ukinuka ni kidogo tu.
gaspayda said: hamna cha diamond kwa wema Click to expand... Wema hauozi na ukioza haunuki ukinuka ni kidogo tu.
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,710 Reaction score 76,243 May 20, 2015 #5,560 Tu huonesha msisitizo