Mjomba naomba mimi niwe wa mwisho kumaliza hili game na Kidume atae reply baada ya mimi ni Mke wangu..na wewe mdada utae reply ni muuza KHicho kilicho mponza kwa mjomba ,!!
K ni herufi ya mwanzo kwa maneno mbalimbali ya lugha mbalimbaliMjomba naomba mimi niwe wa mwisho kumaliza hili game na Kidume atae reply baada ya mimi ni Mke wangu..na wewe mdada utae reply ni muuza K
K ni herufi ya mwanzo kwa maneno mbalimbali ya lugha mbalimbali
Tofauti yetu ni hulka na tabia ila maumbile ni yaleyale !!Mbalimbali na yana ladha tofauti
Yaleyale yaliyotabiriwa ndiyo yatokeayo sasa!Tofauti yetu ni hulka na tabia ila maumbile ni yaleyale !!
Sasa nimegundua kwa nini mshindi wa mwisho hapatikaniYaleyale yaliyotabiriwa ndiyo yatokeayo sasa!
Hapatikani kwa sababu hayupo hewaniSasa nimegundua kwa nini mshindi wa mwisho hapatikani
Hewani Karudi Tambala dadyHapatikani kwa sababu hayupo hewani
dady maana yake nini?Hewani Karudi Tambala dady
Uulize kwanza siku nyingine sio unakuja kuja tu kichwa kichwa utakula za usonini ? kimekufanya uulize
Uso umeharibika kwa kutumia mkorogo !!Uulize kwanza siku nyingine sio unakuja kuja tu kichwa kichwa utakula za uso
Uso umeharibika kwa kutumia mkorogo !!
Kimoja kwa siku si vibayaUso umeharibika kwa kutumia mkorogo !!
Vibaya nikunisema wakati sipo, kama kweli we mwana hip hop nichane live nikiwepoKimoja kwa siku si vibaya
Vibaya nikunisema wakati sipo, kama kweli we mwana hip hop nichane live nikiwepo
Wakuchana Nachana saana Sio Mistar tuu Mpaka Makaratasinikiwepo mimi gwiji wa kushona hakuna tena wakuchana
Taifa Gani UnalomaanishaWakuchana mkeka wapo leo uwanja wa taifa
MAWAZO NI WIMBO MZURI SANA ULIOKUWA UNA HIT BONGO CHATS KIPINDI CHA JKlock haitoki bar ladba upunguze mawazo