The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Sana kabisa mana uhai ni muhimu, mambo mengine ni ziada!Kwema kabisa mkuu, ni jamnola kushukuru sana
Ziada ni pale wajinga wanakuja kuchafua uzi huu kwa matusiSana kabisa mana uhai ni muhimu, mambo mengine ni ziada!
Matusi kwakweli hayapendeziZiada ni pale wajinga wanakuja kuchafua uzi huu kwa matusi
Hayapendezi yakitolewa na mtu mzima!Matusi kwakweli hayapendezi
Mzima na mie piaHayapendezi yakitolewa na mtu mzima!
pia hata mimi sipendi matusiMzima na mie pia
Matusi yafanywe na watu wasiojiheshimu na kuheshimu wenginepia hata mimi sipendi matusi
wengine wanadhani huu uzi hauna maanaMatusi yafanywe na watu wasiojiheshimu na kuheshimu wengine
Maana ipi wanayoitaka, waende kwenye nyuzi nyinginewengine wanadhani huu uzi hauna maana
nyingine zina comment za memba tofauti tofautiMaana ipi wanayoitaka, waende kwenye nyuzi nyingine
Tofauti ipo sana kwa kila mmojanyingine zina comment za memba tofauti tofauti
Mmoja wao ni mimi hapaTofauti ipo sana kwa kila mmoja
Hapa nipo home nimekimbia madeniMmoja wao ni mimi hapa
Hapa nipo home nimekimbia madeni
Inadaiwa kwa uzembe wa viongoziMadeni hata serikali inadaiwa
Inadaiwa kwa uzembe wa viongozi
vilaza ni sisi wananchi tuliowapa kura!Viongozi si unajua kua ni vilaza
Kura yangu sijui wakumpavilaza ni sisi wananchi tuliowapa kura!
Wakumpa utamjua baada ya kusikiliza anachokisemaKura yangu sijui wakumpa
Anachokisema kura yake hajui amuuzie membe au magufuliWakumpa utamjua baada ya kusikiliza anachokisema