fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,255
- 3,889
Magufuli ndie rais mpaka 2025Anachokisema kura yake hajui amuuzie membe au magufuli
2015 anaweza kuongeza muda wa kugombeaMagufuli ndie rais mpaka 2025
Kugombea yeyote anaruhusiwa ili mradi akidhi vigezo2015 anaweza kuongeza muda wa kugombea
Vigezo vyangu vinaupungufu wa nyaraka...Kugombea yeyote anaruhusiwa ili mradi akidhi vigezo
Nyaraka inabidi zitunzwe kwasababu zinaweza kutumika Kama ushahidiVigezo vyangu vinaupungufu wa nyaraka...
Ushahidi unaweza ukawa nao na unaweza usipate haki yako km hauna mwanasheria mzuriNyaraka inabidi zitunzwe kwasababu zinaweza kutumika Kama ushahidi
Mzuri kweli yule mwanamitindo aliyeibuka...Ushahidi unaweza ukawa nao na unaweza usipate haki yako km hauna mwanasheria mzuri
Aliyeibuka km baraka magufuliMzuri kweli yule mwanamitindo aliyeibuka...
Magufuli Rais wa Jamhuli ya Muungano wa TanzaniaAliyeibuka km baraka magufuli
Tanzania inajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye choyoMagufuli Rais wa Jamhuli ya Muungano wa Tanzania
Choyo hicho kwa wenzio hakifaiTanzania inajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye choyo
Hakifai hata kwa kunusaChoyo hicho kwa wenzio hakifai
lock haitoki bar ladba upunguze mawazo
Pombe si dawa ya kutoa mawazoMawazo hayatoki mpaka unywe pombe
Mawazo yanaleta magonjwaPombe si dawa ya kutoa mawazo
Magonjwa ya aina ganMawazo yanaleta magonjwa
Gani !?? Ina maana Hujui homa Ya IniMagonjwa ya aina gan
Ini likichoka maisha mashakaniGani !?? Ina maana Hujui homa Ya Ini
Mashakani ni pale unapompa mimba housegirlIni likichoka maisha mashakani
House girl ndie nyumba ndogo ya baba mwenye numba..Mashakani ni pale unapompa mimba housegirl