Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,141 Reaction score 3,838 Jun 29, 2012 #21 Mawazo ya watu wengi ni kuwa serikali inahusika na kpigo cha dr Ulimboka
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,155 Reaction score 35,683 Jun 29, 2012 #22 WAHEED SUDAY said: Mawazo ya watu wengi ni kuwa serikali inahusika na kpigo cha dr Ulimboka Click to expand... Ulimboka Mwknge yule mchezaji bado yuko Yanga au amehama timu? Maana maslahi mbele kama mfuko wa shati.
WAHEED SUDAY said: Mawazo ya watu wengi ni kuwa serikali inahusika na kpigo cha dr Ulimboka Click to expand... Ulimboka Mwknge yule mchezaji bado yuko Yanga au amehama timu? Maana maslahi mbele kama mfuko wa shati.
h120 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 2,544 Reaction score 3,361 Jun 29, 2012 #23 shati yangu ni genuine hata india hupati namna hii
felinda JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 351 Reaction score 136 Jun 29, 2012 #24 Hii ndio JamiiForums, the great thinkers.
Mtanzanika JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 2,389 Reaction score 1,131 Jun 30, 2012 #25 thinkers come with unprecedent solutions,pamoja tunaweza.
Jaslaws JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 6,016 Reaction score 5,296 Jun 30, 2012 #26 Tunaweza kuwaondoa viongozi wote dhaifu Tanzania,
Wambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 558 Reaction score 324 Jun 30, 2012 Thread starter #27 Tanzania siku zinavokwenda tusio na ajira mpaka tunaomba pesa ya condom kwenda kumaliza
Joeli JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 4,941 Reaction score 3,412 Jun 30, 2012 #28 kumaliza chuo ndo wazo linalozunguka kichwani, nna usongo wa kuingia mtaani
lwampel JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 249 Reaction score 55 Jun 30, 2012 #29 Kumaliza shule si mwisho wa elimu kwani elimu haina MWISHO!
daughter JF-Expert Member Joined Jun 22, 2009 Posts 1,275 Reaction score 748 Jun 30, 2012 #30 lwampel said: Kumaliza shule si mwisho wa elimu kwani elimu haina MWISHO! Click to expand... Mwisho wa ubaya aibu.
lwampel said: Kumaliza shule si mwisho wa elimu kwani elimu haina MWISHO! Click to expand... Mwisho wa ubaya aibu.
lwampel JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 249 Reaction score 55 Jun 30, 2012 #31 Kumaliza shule si mwisho wa elimu kwani elimu haina MWISHO!
lwampel JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 249 Reaction score 55 Jun 30, 2012 #32 daughter said: Mwisho wa ubaya aibu. Click to expand... Aibu ya maiti ajuae MUOSHA.
mysteryman JF-Expert Member Joined Aug 4, 2011 Posts 1,065 Reaction score 365 Jun 30, 2012 #33 muosha magari pale sinza kafumaniwa jana
mtamanyali JF-Expert Member Joined Dec 6, 2011 Posts 1,161 Reaction score 613 Jun 30, 2012 #34 Jana haikuwa siku nzuri kwani niliahidiana na demu halafu hakuja!
Wambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 558 Reaction score 324 Jun 30, 2012 Thread starter #35 Hakuja sababu ashasikia story zako kuwa una mpini mkubwa
nameless girl JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 4,195 Reaction score 2,678 Jun 30, 2012 #36 aibu haiepukiki kwa vitendo vyovyote viovu
Wambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 558 Reaction score 324 Jun 30, 2012 Thread starter #37 Viovu ni vitu vyoyote visivyompendeza Muumba nameless girl said: aibu haiepukiki kwa vitendo vyovyote viovu Click to expand...
Viovu ni vitu vyoyote visivyompendeza Muumba nameless girl said: aibu haiepukiki kwa vitendo vyovyote viovu Click to expand...
Tuyuku JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 3,292 Reaction score 1,927 Jun 30, 2012 #38 viovu vimekuwa vitendo vya kawaida vya CCM
felinda JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 351 Reaction score 136 Jun 30, 2012 #39 daughter said: Mwisho wa ubaya aibu. Click to expand... aibu imempata rais kikwete baada ya kuambiwa yeye dhaifu.
daughter said: Mwisho wa ubaya aibu. Click to expand... aibu imempata rais kikwete baada ya kuambiwa yeye dhaifu.
U UAMSHO TAKBIRI New Member Joined Jun 29, 2012 Posts 2 Reaction score 1 Jun 30, 2012 #40 Aibu ni jambo la kufedhehesha sana