Sitakuacha uendee kujisongeza kwa ma_sweethearts Mwana and Heaven on Earth. Nitakutimua
Nyingine ipo.... Unampiga ban
Ban sijawahi kupigwa jamani hivi ukipigwa ban huwezi hata kulog in?
Kulog in huwezi unabaki kukodoa mimacho nje ya fence .
Fence ipi?
Nje ya nchi wanatamani kuja kutalii afrika lakini tulio ndani ya afrika atuoni thamani ya kua afrikaIpi zaidi ya fence ya jamii forum, kama mfungwa ambae kafungiwa ndani hawezi toka nje
Nje ya nchi wanatamani kuja kutalii afrika lakini tulio ndani ya afrika atuoni thamani ya kua afrika
Africa hatuthamini vya kwetu
Kwetu usukumani tunakula dona kama ugali na sembe kama mboga...
Mboga hiyo mnayokula siiwezi bora nishinde na njaa
Njaa yakondesha mrembo
Mrembo nitakula chips
Chips kwetu usukumani zaliwa kama tunda
(Haaaaaa)
Tunda nalipenda nitalipataje tunda by Mwinjuma muumini, unaukumbuka huu wimbo?
Wimbo huo wakumbukwa sana nami na ulivumishwa sana na Bambo akimwimbia Nyamayao..
Kipindi hicho tv stations zilikua chache, itv was the best.
Best station ever, jumamosi ilikua siku ya marudio ya maigizo hapo nilikua sikauki mbele ya Tv