Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
TV wakati huo inatolewa sebuleni siku za jumamosi tu na mdingi tena remote ashika yeye...
Omygad mambo?
Only God knows...
Knows how umeharibu mtiririko wa thread
Dadangu iliishia na O!
O nimeiona lakini u dont start with a spell, muendelezo unahitaji neno lote la mwisho
mwisho wa dunia kweli nilichanganya michezo...kuna ule wa herufi ya mwisho...kudesa kubaya
:thumbup:
Kubaya kweli kweli.. Huo mchezo mwingine uko chit chat nikajua ndio unauchanganya na huu
Jamii hii ya zamaulid na hossey inatokea wapi kuharibu thread kila mara haah!
Chips kwetu usukumani zaliwa kama tunda
Tunda la kati ni tamu kuliko matunda yote duniani
Duniani hakuna tunda la kati
kati ya jf na facebook unapenda nini??
Chochote chenye utamu kina madharaNini ni kiwakilishi kiulizi kisichochukua kiambishi chochote
Chochote chenye utamu kina madhara