Wa mwisho ndiyo mshindi

Huu mchezo sijui utakwisha lini, nadhani atakaekuja kushinda bado hajazaliwa.
 
Itafute ukiipata nitakupa zawadi by Omygad
 
Last edited by a moderator:
Kura dili, jiandikishe ili uiadhibu serikali iliyochoka ya ccm
 
Alhamdulilah sema b5-click angalau unawaona kwa mbali kuliko usingewaona kabisa!
 
Kabisa nakili nisipokuona mwana kipenzi cha nafasi yangu hata kazi haziendi sawa
 
Last edited by a moderator:
Sawa Mtwasi, naona upo na Mwana!
Nasikia wivu ila najikaza kama Lowassa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…