MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
PM kumenoga tayariHusda na kijicho nitakupiga navyo kama utaamua kumchukua huyo mrembo macho mazuri na kumpeleka pm
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini kimekufanya uchangie au ndiyo kuharibu move yangu ya kung'oa kimasihara
Uzushi umesaidia nijue kama unanisubiria pande hizo, nakuja ☺
Nakuja nihakikishe mwenyewUzushi umesaidia nijue kama unanisubiria pande hizo, nakuja [emoji5]
Huna chako hata ww, so wala usijimwambafayMwenyewe umeingia kingi, MLEVi Mmoja huna chako
Usijimwambafay na hayo macho yako, ngoja tuuze nyumba ya urithi K/koo alaf tuone kama sina changu
[emoji23][emoji23][emoji23] changu ni aina ya samakiUsijimwambafay na hayo macho yako, ngoja tuuze nyumba ya urithi K/koo alaf tuone kama sina changu
Samaki gani ni mtamu?
Mtamu mwenye macho au churaSamaki gani ni mtamu?
Samaki gani ni mtamu?
Sato ndiyo nini, njoo Pwani nikulishe kitaa mkojo na konokono bahari
Bahari imechafukakimbunga kimesababisha mawimbiSato ndiyo nini, njoo Pwani nikulishe kitaa mkojo na konokono bahari
Sato ni samaki wanaopatikana huko misri kupitia mto nile
Mto Nile ni location mojawapo nzuri ya kumpeleka lenieSato ni samaki wanaopatikana huko misri kupitia mto nile
Mawimbi na upepo yanasumbua wavuviBahari imechafukakimbunga kimesababisha mawimbi