Hivyo ndo alivyo, tangia zamani
itaendelea pale lenie na mlevi mmoja wakiwa familia mojaZamani zakale alitokea lenie na mlevi mmoja katika Kijiji Cha jamii forum.....itaendelea
Moja ya vitu tunahimizwa ni kuishi kwa upendo
Wewe ni mlevi wa mataptap au gongo?
Gongo na ameungua mainiWewe ni mlevi wa mataptap au gongo?
Maini mazima ya kazi gani?Gongo na ameungua maini
Maini yakipikwa lost na tambi napenda sanaGongo na ameungua maini
Sana kuliko unavyopenda biriani?Maini yakipikwa lost na tambi napenda sana
Sana kuliko unavyopenda biriani?
Nani kamtaja mariamu biriani!! Nisikiapo jina lake nasisimka maungoni😂😂😂
Nani kamtaja mariamu biriani!! Nisikiapo jina lake nasisimka maungoni[emoji23][emoji23][emoji23]
wapi? Si kwingine Ni pale anapokaa abdalla kichwa wazi wengine wanamuita athumani jicho moja.
wapi? Si kwingine Ni pale anapokaa abdalla kichwa wazi wengine wanamuita athumani jicho moja.