Mwisho hacomment mtu hadi asubuhiTu dogo tunazania twenyewe ndiyo twa mwisho
Sio kweli.Mwisho hacomment mtu hadi asubuhi
ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ [emoji377]
😆😆 ni kweli mkuu
Asubuhi ikifika ujue kwenda na uzi sio unacomment kihasara hasaraAcha niwe wa mwisho tu mpaka asubuhi 😊😊
Nini? Eti umelala bar
Bar ni sehemu tunapotu100 hela zote
Kitatutenganisha na hii thread na ndo itakuwa End