MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
pia na Mimi naomba niingie kwenye iyo stori Kama muhisika mkuu.
Mkuu wa kitengo gani?pia na Mimi naomba niingie kwenye iyo stori Kama muhisika mkuu.
Zaidi yangu humu hakunaGani Ni bunduki inayoweza kumuua adui kwa urahisi zaidi.
Hiko wewe penda sana mimi
Mshindi tu, Kwa nini usiwe ayu au eva?
Kwani hujui kama yeye ndiye muasisi wa kula tunda
Tunda gani? Si lile la katikati
Ajabu sana kuwa na wake kama Dr mwakamawaza yatafanya ufanye maamuzi ya ajabu
Katisha kama mimi ninavyotisha