MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
mawazo yanaua
Wapi papaa mlevi mmoja mzee ya chimpumu
pombe huleta umaskini
pombe huleta umaskini
Kistaarabu kabisa nakua mshindi wa uzi
Uzi huu mi ndo mshindi mtakomenti sana mpaka mchoke lakin kila mkiingia mtakuta komenti yangu mwishoniKistaarabu kabisa nakua mshindi wa uzi
Uzi huu mi ndo mshindi mtakomenti sana mpaka mchoke lakin kila mkiingia mtakuta komenti yangu mwishoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuaje kama mimi ni mshindi
Huko hukuwezi Njoo BuzaTandika vyumba bei gani nataka kuhamia huko?