donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Wenzio tupo kwenye raiti traki sasa
Kesho ni wikiendi bila shaka
Sana, hata me nimeona hilo
Hilo lisikupe shida hata wewe nakupenda piaSana, hata me nimeona hilo
Nakupenda pia, ila jitahidi pombe upunguze kidogo
Kidogo kidogo napunguza nataka niache kabisaNakupenda pia, ila jitahidi pombe upunguze kidogo
Kabisa ukifanikiwa kuacha ntakupa zawadi
Zawadi gani? Kama tunda na mimi nataka.Kabisa ukifanikiwa kuacha ntakupa zawadi
Nataka kwenda ulayaZawadi gani? Kama tunda na mimi nataka.
Visa ya nini, me nazamia
Kule kwetu kwa mpalange nani nimpeleke?
Tuheshimiane na kuheshimu uzi, ulitakiwa unate na neno la mwisho 😂 😂