MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Ataweza akiwezeshwa
Nmefrahi kukuona pia, nlikua nmetulia hapa we si ulikua busy
Nmefrahi kukuona pia, nlikua nmetulia hapa we si ulikua busy
Nakutafuta kama hela
Ngumu kwa sababu ya bwana yule
Sheria zimewekwa ili zivunjwe
Zivunjwe tu maana hakuna namnaSheria zimewekwa ili zivunjwe
Namna ipo, muhimu kuwa mvumilivuZivunjwe tu maana hakuna namna
Uvumilivu utoke wapi wakati hali ni teteNamna ipo, muhimu kuwa mvumilivu
Ni tete kweli, ila inabidi kukomaa
Kukomaa kwa embe ndio kuivaNi tete kweli, ila inabidi kukomaa
Elezea uliyokutana nayo huko
Salama tu kama tukienda pole pole