donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Wandugu wa siku hizi hawaelewekiYaRabii nistiri kwa hawa wandugu..
Yao yamewashinda, kazi kufatilia ya watu
Watu wengine wanapenda sifaYao yamewashinda, kazi kufatilia ya watu
Mbishi sana na hasikii yule mtoto
Wewe nmekumiss zaidi, hope uko poa
Poa Niko poa kabisa hofu kwakoWewe nmekumiss zaidi, hope uko poa
Kwako wamekuja wageni
Corona umekua ugonjwa tishio sasaHawatakiwi wachina sababu ya Corona
sasa tutafanyaje, salam mpya imeanzishwa. kusalimiana kwa miguuCorona umekua ugonjwa tishio sasa