dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Asijue hilo sijui kama itakua siriTena twende kimya kimya mlevi asijue
Wewe nani kasema
Kasema yeye ni jiweWewe nani kasema
Jiwe kubwa huwekwa mtoni la kuvukia ngamboKasema yeye ni jiwe
Ngambo huwa niishu sana kupapata vipi unatoaga?Jiwe kubwa huwekwa mtoni la kuvukia ngambo
Unatoaga swadaka ktk nyumba za ibadaa?
Ifanywe wazi wazi watu wengi wajue
Wajue na waelewe taratibu za huu uziIfanywe wazi wazi watu wengi wajue
Ubishi ndio jadi ya mbongo tena akiwa ametokea zile pande za kigoma
Kigoma wanasema ni mwisho wa reliUbishi ndio jadi ya mbongo tena akiwa ametokea zile pande za kigoma
Sent using Jamii Forums mobile app