elly obedy
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 803
- 1,482
Mwisho ni pale nitakapoibuka mshindiLini uzi huu utafika mwisho?
Mshindi hatabiriki hata ajiamini kwa vigezo
Vigezo na masharti kuzingatiwaMshindi hatabiriki hata ajiamini kwa vigezo
Kuzingatiwa kwa itifaki ni heshima za siasa..
Siasa za nchi hii ni mbovuKuzingatiwa kwa itifaki ni heshima za siasa..
Mbovu, mbivu, mbichi hayo hayakuhusu tii amri bila shuruti...
Mbovu, mbivu, mbichi hayo hayakuhusu tii amri bila shuruti...
Colona umeandikaje sasa inaitwa coronaAfya zetu ni nzuri ndio maana hatupati colona
Ada ya mwezi huu kwanini hujatoa