Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Lakin ukisikia paah!! Ujue kuna jambo..
Jambo la kumshukuru Mungu ukiamka salamaLaki
Lakin ukisikia paah!! Ujue kuna jambo..
Salama na amani iwe juu yako na umma huu mtukufu !!
Salama na amani iwe juu yako na umma huu mtukufu !!
Mwenyezi Mungu ni mwenye huruma na upendo
Adabu njema huanza kwa mzazi na hatimae kumfikishia mwanae
Mwanae amekua mkimya ghaflaAdabu njema huanza kwa mzazi na hatimae kumfikishia mwanae
Ghafla limetokea tetemeko utafanya nini?Mwanae amekua mkimya ghafla
Nini kwani mtapungukiwa mkiniacha nikawa wa mwisho na huu uzi ukafungwa
Ukafungwa kivipi, bado mapema tuliaNini kwani mtapungukiwa mkiniacha nikawa wa mwisho na huu uzi ukafungwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Elezea jinsi simba alivyoolewa na yanga jana
Jana nimekuota mwendhioElezea jinsi simba alivyoolewa na yanga jana
Gani bila alama ya kiulizo ni kosa pia la kiuandishi.
Kiuandishi upo sawa.Gani bila alama ya kiulizo ni kosa pia la kiuandishi.