elly obedy
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 803
- 1,482
Siku hizi anakunywa pombe sana
Sana sana utatozwa faini au kifungo cha miezi sita !!Siku hizi anakunywa pombe sana
Sita ukitoa mbili inabaki nneSana sana utatozwa faini au kifungo cha miezi sita !!
Nne ni namba shufwa
Corona bongo wanayo watu watatu
Watatu watapona harakaCorona bongo wanayo watu watatu
Watatu watapona haraka
Wanaongezeka tusipochukua tahadhariHaraka haraka wengine wanaongezeka
Tahadhari yenyewe si mchezo vipimo vipo Dsm tu tz nzima
Nzima sio mbovuTahadhari yenyewe si mchezo vipimo vipo Dsm tu tz nzima
Mbovu zote zitupwe
Zitupwe mbali sanaMbovu zote zitupwe
Tunapokwenda tuwe makini, kule tusiamini sana watu
Watu ndiyo sisi utawezajee kuishi pekee ndani ya kisiwa?Tunapokwenda tuwe makini, kule tusiamini sana watu
Kisiwa chetu ni kizuriWatu ndiyo sisi utawezajee kuishi pekee ndani ya kisiwa?
Kizuri ni pale unaposhiba na huna deniKisiwa chetu ni kizuri
Deni la mtu utalukimbia hadi lini ?Kizuri ni pale unaposhiba na huna deni