Kwanini hapendi kufugika?
Hachungwi huyo, anajichunga mwenyewe
Mwenyewe anapenda kukaa kwenye majiHachungwi huyo, anajichunga mwenyewe
Uhai wa mtu hauliganishwi na fedha
Fedha ni sabuni ya rohoUhai wa mtu hauliganishwi na fedha
Roho inauma ila inabidi nikubaliFedha ni sabuni ya roho
Nikubali au nikatae? Naomba ushauriRoho inauma ila inabidi nikubali
Kwako ndugu! Jikinge na corona
Pesa inaleta heshima
Heshima kwa kila mtuPesa inaleta heshima