Kwangu nimeweka stock ya chakula na mahitaji muhimu kusubiri kupambana na corona
Corona imeleta balaaKwangu nimeweka stock ya chakula na mahitaji muhimu kusubiri kupambana na corona
Nyeupe kama theruji
Tuzingatie maelekekezo yanayotolewa na wataalamu wa afya huku tukizidi kumuomba mungu na hakika hili nalo litapita tuseme AmeenNayo imekuja kutuharibia mambo yetu tuu!!
Amen mtumishi wa Mungu, ubarikiweTuzingatie maelekekezo yanayotolewa na wataalamu wa afya huku tukizidi kumuomba mungu na hakika hili nalo litapita tuseme Ameen