Ndugu wakigombana Shika Jembe
Ngumu kumeza hiyo
Hiyo ndiyo jadi yetu hatubadiliki..Ngumu kumeza hiyo
Hatubadiliki ng'o mwanzo mwishoHiyo ndiyo jadi yetu hatubadiliki..
Mwisho wa ubaya ni aibuHatubadiliki ng'o mwanzo mwisho
Aibu mbaya ni ile ya kufumaniwa na mke mtuMwisho wa ubaya ni aibu
Mke wa mtu ni sumuAibu mbaya ni ile ya kufumaniwa na mke mtu
Sumu ya panyaMke wa mtu ni sumu
Panya bukuSumu ya panya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeamua kuharibu mtiririko 😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] vipi
Mshindi ni mtu aliyefaulu katika mashindano
Mashindano yetu yanaishia hapa maana mshindi Ni mimiMshindi ni mtu aliyefaulu katika mashindano
Mimi ndiye mshindi
Mshindi ni mimi sababu ndiye nilitoa jibu la swaliMimi ndiye mshindi
Swali hilo lilikuwa linasemaje?Mshindi ni mimi sababu ndiye nilitoa jibu la swali
Lilisema "nini maana ya mshindi"Swali hilo lilikuwa linasemaje?