Wa mwisho ndiyo mshindi

nini unacho uliza, yani hujui ya kwamba queen Kiba anaisha kariako kwa mama yake
 
Nyuma...! Mombasa wana elewa maana ya nyuma sisi tz tunaangalia mbele...!
 
Matumaini yenyewe kama ni haya bhasi balaa
 
Hivi hivi kwa maamuzi yao wanaingiza mambo mengine
 
Haaaaaaaaaah haaaaaaaah haaaah teeeehuuuh..! Huu mchezo umewapata wachezaji
 
Nmeng'atuka eti wakati bado yumo kwny kulisaka taji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…