tamaa mbele mauti nyuma
Haramu inapokuwa halali imekeukwa basi harumu hubainika !!Nyuma haramu
Maishani mwangu napenda sana upendo na amaniKubughudhiwa ni kitu ninachokichukia maishani
Amani itawale mioyoni mwenu
mwenu ni mahali na pia ni kimilikishiAmani itawale mioyoni mwenu
Kimilikishi cha mali ya Umma ni ujanja fulani !!mwenu ni mahali na pia ni kimilikishi
Fulani ni mwiziKimilikishi cha mali ya Umma ni ujanja fulani !!
Nambaka ni kauli tishio bora sema namshitaki !!
Namstaki ndiyo kauli nzuri, ukibaka na wewe utakuja kubakwaNambaka ni kauli tishio bora sema namshitaki !!
kubakwa huleta fedhehaNamstaki ndiyo kauli nzuri, ukibaka na wewe utakuja kubakwa
Fedheha kwa majiranikubakwa huleta fedheha
Majirani wema ndiyo wakutafutwa !!Fedheha kwa majirani
Wakutafutwa kwenye shida na rahaMajirani wema ndiyo wakutafutwa !!
Duniani kuna maajabu yasiyo simulika..!!
Ndefu ilipitiliza stori zote hadi ikatuchosha