Inatisha, uzi huu bado unaishi!!!Hali ya maambukizi ya COVID-19 duniani inatisha
Tunaufuatilia huu uzi kwa kuwa unaendela kila siku
Siku nyingi nilikuwa sijaingia kwenye uzi huuTunaufuatilia huu uzi kwa kuwa unaendela kila siku
Sisi tuko bado tunausukumaSiku nyingi nilikuwa sijaingia kwenye uzi huu
Hausogei kwa sababu ya nafasi ?
Nafasi ni finyuHausogei kwa sababu ya nafasi ?
Finyu sana ule mchochoro wa gheto !!Nafasi ni finyu
Finyu sana ule mfereji wa choo !!Nafasi ni finyu
Finyu sana ule mfereji wa maji taka !!Nafasi ni finyu
More 4 less ipo kubeba takaFinyu sana ule mfereji wa maji taka !!
Finyu sana ule mfereji wa maji taka !!Nafasi ni finyu
taka usitake Mkuu upo maridadi..More 4 less ipo kubeba taka
Betrayal is the choice not behavior[emoji682]
Maridadi wapi boss!!!Finyu sana ule mfereji wa maji taka !!
taka usitake Mkuu upo maridadi..
Sequence inavurugwa kwa masilahi binafsiMaridadi wapi boss!!!
Watu wanavuruga sequence makusudi
Binafsi naupenda sana mtandao wa jamiiforum hasa jukwaa pendwa la Mahusiano,mapenzi na urafiki(MMU)Sequence inavurugwa kwa masilahi binafsi
Wapendwa tumkumbuke MUNGU wakati woteBinafsi naupenda sana mtandao wa jamiiforum hasa jukwaa pendwa la Mahusiano,mapenzi na urafiki(MMU)
Pamoja sana wapendwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote ni watu wa Mungu
Sote tu watoto wa Mungu