Lini unaitakaMungu muweza wa yote. Tukiachana na yote hayo. Ile pesa yangu utanilipa lini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumbo likiwa kubwa sana halifai
Wakuu fuatilieni post musiwe mnaharibu muendelezo
Sana sana maambukizi haya ni hatari !!Kufuatw kwa sheria za kujikinga na corona ni muhimu sana
Sana ili kupunguza maambukiziKufuatw kwa sheria za kujikinga na corona ni muhimu sana
Maambukizi ya Covid19 yana hitaji tahadhari..
Tahadhari inahitajika kujikinga na maambukizi ya Covid19 tusipuuzieMaambukizi ya Covid19 yana hitaji tahadhari..
Tusipuuzie kwa sababu unaua kwa harakaTahadhari inahitajika kujikinga na maambukizi ya Covid19 tusipuuzie
Sent using Jamii Forums mobile app
Haraka sana sote tunyanyue mikono juu kumuomba Mwenyezi Mungu msaada wa kuturudishie maisha ya utulivu..
Amina mtumishi Uzi huu umeishia apaHaraka sana sote tunyanyue mikono juu kumuomba Mwenyezi Mungu msaada wa kuturudishie maisha ya utulivu..
Hapa bado hatujafikia tamati tutaendeleza hadi qiyama !!!Amina mtumishi Uzi huu umeishia apa