Akili Pesa
JF-Expert Member
- Jun 18, 2014
- 616
- 854
Kilatini ni Lugha ya zamani sana
Sana wazee wa zamani ndio wataelewaKilatini ni Lugha ya zamani sana
Wataelewa kwa sababu walikua watafiti sana tofauti na kizazi Cha Sasa
Nikubali lawama zako bila ajizi !!
Ajizi ndio nini?Nikubali lawama zako bila ajizi !!
Nini huelewi ? ajizi ni neno la kiarabu linatumika hapa kiswahili fasaha kuwa lina maana ya kutoweza/kushindwa/kutokuwa na uwezo kwa kusaidia !!Ajizi ndio nini?
Kusaidia wasiojiweza ni muhimu sanaNini huelewi ? ajizi ni neno la kiarabu linatumika hapa kiswahili fasaha kuwa lina maana ya kutoweza/kushindwa/kutokuwa na uwezo kwa kusaidia !!
Sana sana ndg BBC hebu nenda kwa dentist ukapachike !!
Ukapachike hata juu ya mlango wa makondaSana sana ndg BBC hebu nenda kwa dentist ukapachike !!
Nini huelewi ? ajizi ni neno la kiarabu linatumika hapa kiswahili fasaha kuwa lina maana ya kutoweza/kushindwa/kutokuwa na uwezo kwa kusaidia !!
Ukapachike hata juu ya mlango wa makonda
_________???Ukapachike hata juu ya mlango wa makonda
Makonda ameshindikana kwa kutoa matamko yenye utataUkapachike hata juu ya mlango wa makonda
Utata kutoka kwa mtataMakonda ameshindikana kwa kutoa matamko yenye utata
Utata kutoka kwa mtata
Harusi 'ake ilikua mbaya na haijawai tokea
Ndani kuna usumbufu wa hali ya juu
Juu ya mwamba alilijenga kanisaNdani kuna usumbufu wa hali ya juu
Kanisa ndio mwamvuli wa watenda maovu