007 De Souza
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 901
- 483
Mikono ikiwasha ujue unaokota helaZinazohitajika ni barakoa na vitakasa mikono
Hela ni neno la kijerumani !!
Kijerumani ni lugha.Hela ni neno la kijerumani !!
Lugha ambayo natamani kuijuaKijerumani ni lugha.
Kuijua sio kazi muhimu kujifunzaLugha ambayo natamani kuijua
Kujifunza huko mbele, BONGO kukaririKuijua sio kazi muhimu kujifunza
Kukariri kuna saidia kwa upande mwingineKujifunza huko mbele, BONGO kukariri
Break-time ni vizuri ili akili nayo itulie tuliiBreak time
Tulii kama maji ya mtungiBreak-time ni vizuri ili akili nayo itulie tulii
Mtungi huficha siri kwa aliyekuwa makiniTulii kama maji ya mtungi
Mtungi huficha siri kwa aliyekuwa makiniTulii kama maji ya mtungi
Makini ya Siri ni kwa MtunzajiMtungi huficha siri kwa aliyekuwa makini
Mtunzaji huyu ameitunza vema hii nguoMakini ya Siri ni kwa Mtunzaji
Nguo yenye ubunifu mkali, yafaa kutunzwa vemaMtunzaji huyu ameitunza vema hii nguo
What goes around comes back around !!