Wa mwisho ndiyo mshindi

Havijaisha ila kuna kila dalili za kukatwa kidizaini
 
Tunavyoishi sivyo tulivyotaka kuishi maisha yamekua magumu vijana 2mekua majambazi sugu i hate CCM
 
Ccm ndio waliofanya maamuzi magumu kuliko Lowasa
 
Zipi ambazo huzijui? Kufufua viwanda pamoja na miundombinu ya reli,kuhuisha ubora wa elimu,kuleta huduma za jamii kama hosp na maji kwenye makazi ya watu,kupunguza kodi kwenye bidhaa muhimu etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…