Thiago Silva
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 322
- 177
Wowote wale wanaompinga raisi na vigagula vyake wanywe pepsi mm ntalipaMakazi yetu ya kidumu ni mbinguni kwa BABA hapa duniani tunapita tu na yatupasa kujiandaa muda na wakati wowote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mwanaume mpenda wanawake hasa wanawake waliojaliwa t@ko na rangi ya mtumemimi sio kama wao na wao sio kama mimi
Mimi ni mwanaume mpenda wanawake hasa wanawake waliojaliwa t@ko na rangi ya mtume
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo ukikithiri haki hutoweka...
hutoweka kwa muda tu lakini badae hurudi tenaUongo ukikithiri haki hutoweka...
Tena usumbuahutoweka kwa muda tu lakini badae hurudi tena
Husumbua kama mimba pevu...Tena usumbua
YGM
Mwaka 2015 ulikuwa wenye neema na ubarikio wa awamu tano kuondoa ufisadi na ubadhirifu...changa la macho tulipigwa mwaka 2015
ubadhirifu huwa hauondoki bali unakuja kwa namna nyingine tuMwaka 2015 ulikuwa wenye neema na ubarikio wa awamu tano kuondoa ufisadi na ubadhirifu...
Tu mbili wanakula maembe yanguubadhirifu huwa hauondoki bali unakuja kwa namna nyingine tu
Tu mbili wanakula maembe yangu
Sifuri ndyo namba pekee yenye thamani kuliko namba zote japo watu huisau
Huisahau hata siku ya ibaada.Sifuri ndyo namba pekee yenye thamani kuliko namba zote japo watu huisau