elly obedy
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 803
- 1,482
Ibaada ni leo
Puani pia ukipashika bila kunawa mikono waweza kupata maambukizi ya Corona
Corona ni janga la dunia nzimaPuani pia ukipashika bila kunawa mikono waweza kupata maambukizi ya Corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Nzima au mbovu lazima uikague..
Inaruhusiwa? Mmmmh sidhan, si watu baada ya kujifukiza tutakuwa mazombi
Mazombi ni janga lingine jamii kulitambuaInaruhusiwa? Mmmmh sidhan, si watu baada ya kujifukiza tutakuwa mazombi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kulitambua ni kazi ya ziadaMazombi ni janga lingine jamii kulitambua
Zaidi ya hayo ni kupambana na hali zetu