kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Ladha ya chakula siskii
Binti mwenyewe kichecheSisikii wala sioni kwa penzi la yule binti
Nani ana pesa kunizidi?Kicheche kakamata kuku wa nani?
Kunizidi mimi kwa maarifa labda uwe msomi uliefika level ya ChuoNani ana pesa kunizidi?
Mkuu ana hadhi ya kukaribishwa ktk kongamano !!
Kongamano la wanaume litafanyika keshoMkuu ana hadhi ya kukaribishwa ktk kongamano !!
Makucha yake ni marefuWakuu amkeni kumekucha na makucha yake
Mheshimiwa anahadhi ya kuongoza umma !!
Umma ndo nini ..? Eti LenieMheshimiwa anahadhi ya kuongoza umma !!