MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Taharuki kuliko hata ya criss mahuki
Nani mtaalamu wa msamiatiMahuki ndo nani
Nani mtaalamu wa msamiati
Kaskazini kijeografia ni milima baridi yenye theluji !!Msamiati wa lugha ya korea kaskazini
Theluji ni barafuKaskazini kijeografia ni milima baridi yenye theluji !!
Barafu hugandishwa na baridi kali ilo ngumu !!Theluji ni barafu
Ngumu kumezaBarafu hugandishwa na baridi kali ilo ngumu !!
Kumeza dawa bila glass ya maji ni makosa na hatarishi..!!Ngumu kumeza
Kumeza dawa bila glass ya maji ni makosa na hatarishi..!!
Mwili wa binaadamu umeumbwa kwa takwimu yenye ubora wa kimiujiza !!Hatarishi kwa afya ya mwili
Kimiujiza ujiza nimeponaMwili wa binaadamu umeumbwa kwa takwimu yenye ubora wa kimiujiza !!
Mimi nimenusurika na magonjwa kadha ispokuwa !!nimepona malaria kali niliyokuwa nayo nilijua korona...maskini mimi
Ispokuwa Mungu ndo AnajuaMimi nimenusurika na magonjwa kadha ispokuwa !!
Anajua kuwa leo utakuwa mzima au utakufaIspokuwa Mungu ndo Anajua
Anajua kuwa leo utakuwa mzima au utakufa
Chini yangu kuna kaburi lakoUtakufa tu yeyote yule utakae koment chin yangu
Lako jambo umelikuza na kulifanya sakata..!!Chini yangu kuna kaburi lako
Sakata mziki دنسيLako jambo umelikuza na kulifanya sakata..!!
دنسي يرد جمالا فالخلاق تكفيهSakata mziki دنسي
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]