Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Nyingi zisizo na tija ni bora kubaki na sifuri yenye thamaniUkubwani nimekutana na changamoto nyingi
Yenye thamani ni macho ya LenieNyingi zisizo na tija ni bora kubaki na sifuri yenye thamani
Lenie ni mstaarabu mwenye sifa stahili...Yenye thamani ni macho ya Lenie
Stahili ya jambo jema ni lazima iende kwa uzuri na wema.Lenie ni mstaarabu mwenye sifa stahili...
Stahili ya jambo jema ni lazima iende kwa uzuri na wema.
Ndoa si jambo lelemama mkuuWema sepetu nafunga nae ndoa
Mkuu, huu uzi mshindi atapatikana lini?Ndoa si jambo lelemama mkuu
Lini ulianza, kujitegemea mwenyeweMkuu, huu uzi mshindi atapatikana lini?
Mwenyewe nawaza mshindi sijui lini atatokeaLini ulianza, kujitegemea mwenyewe
Atatokea siku ya mwishoMwenyewe nawaza mshindi sijui lini atatokea
Mwisho wa mchezo haujulikaniAtatokea siku ya mwisho
Sasa ndio umefanya ninu ulitakiwa kuni nukuu mimi kama mchezo unavoendaHaujulikani siku wala saa
Unavyoenda kimasihara, utaisha kimasiharaSasa ndio umefanya ninu ulitakiwa kuni nukuu mimi kama mchezo unavoenda
Kimasikhara Corona imeishaUnavyoenda kimasihara, utaisha kimasihara
Imeisha Tanzania ila kwa wengine bdoKimasikhara Corona imeisha
Bdo ndio nini?Imeisha Tanzania ila kwa wengine bdo
Nini maana ya Uzi?Bdo ndio nini?
Uzi? Hilo sio swali la kuulizaNini maana ya Uzi?
Kuuliz co vbyaUzi? Hilo sio swali la kuuliza