dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Tanzania nchi ya kipekeeHii ndio nchi yangu Tanzania
Kipekee sana ningependa kuwatakia kheri ya pasaka 2020 na sikukuu ya mapinduziTanzania nchi ya kipekee
Mapinduzi huwa na zake gharama !!Kipekee sana ningependa kuwatakia kheri ya pasaka 2020 na sikukuu ya mapinduzi
Gharama ya kumpata diva Ni mil. 500Mapinduzi huwa na zake gharama !!
Million 500 wacha weweGharama ya kumpata diva Ni mil. 500
Wewe kwani yake ina biaMillion 500 wacha wewe
Bia si nzuri kabisaWewe kwani yake ina bia
Kabisa ukitoa "a" ukiweka i inakuwa kibisaBia si nzuri kabisa
Kibisa ni nyoka wa maoneshoKabisa ukitoa "a" ukiweka i inakuwa kibisa
Maonesho ya sabasaba mwaka huu siwezi kwendaKibisa ni nyoka wa maonesho
Kwenda jamaica kula ganjaMaonesho ya sabasaba mwaka huu siwezi kwenda
Ganja sio nzuri kiafya bwasheeKwenda jamaica kula ganja
Bwashee pombe pia sio nzuri, kizuri ni kumcha MunguGanja sio nzuri kiafya bwashee
Bwashee pombe pia sio nzuri, kizuri ni kumcha Mungu
Kwangu Kuna kila kitu ila sio kadi ya ccm.Mungu ni mwema kwangu
Ccm ndo niniKwangu Kuna kila kitu ila sio kadi ya ccm.
Nini maana ya swali lakoCcm ndo nini
"nini" bila hii alama "?" haileti maana yeyoteCcm ndo nini
Swali lako jibu sahihi ni chuma chako mapema.Nini maana ya swali lako
Mapema kabla ya Giza kuzamaSwali lako jibu sahihi ni chuma chako mapema.