Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Kabisa siwezi kwenda shule tarehe 29Taifa stars haina washabiki kabisa
Tareh 29 ntafunga ndoa na mwanamke wa somaliaKabisa siwezi kwenda shule tarehe 29
Ndio nimezaliwa tarehe 29Tareh 29 ntafunga ndoa na mwanamke wa somalia
Tar 29 mimi ntakuwa mshindi wa huu uziNdio nimezaliwa tarehe 29
Uzi huu utaenda hadi mwisho wa jamiiforumTar 29 mimi ntakuwa mshindi wa huu uzi
Jamii forum is a stress free zone.Uzi huu utaenda hadi mwisho wa jamiiforum
Zone ni nini?Jamii forum is a stress free zone.
Ukisoma kinyume nyume ni Nose..Zone ni nini?
Nose sio ni nezoUkisoma kinyume nyume ni Nose..
Sasa ni muda wa kuchukua formNose sio ni nezo
unaona umeharibu uzi sasa,
Form ni kiingereza ungeandika fomu,Sasa ni muda wa kuchukua form
Form ni kiingereza ungeandika fomu,
Kwa kiswahili bwashee
Nini ina maana hujui!?Bwashee ndo nini
Hujui kuwa kuna wazembe hawajui kanuni za huu uzi kama malcomNini ina maana hujui!?
Hujui kuwa kuna wazembe hawajui kanuni za huu uzi kama malcom
Mzembe ndio hufanikiwaKama malcom alivyokuwa mzembe
Hufanikiwa kwa bahati sana sio rahisiMzembe ndio hufanikiwa
Rahisi sana mlevi mmoja kuwa mshindi wa huu uziHufanikiwa kwa bahati sana sio rahisi
Huu Uzi ni kweli miaka ya badaa utaishi mi nikiwa mshindiRahisi sana mlevi mmoja kuwa mshindi wa huu uzi
Mshindi atakuja 2080 huko je utakuwepo mkuuHuu Uzi ni kweli miaka ya badaa utaishi mi nikiwa mshindi