Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Balaa gani hili jamani, kunguru kaninyea kichwaniKooozi la kutemewa maachoni sio zuri Ila uuzii Ni balaa
Balaa gani hili jamani, kunguru kaninyea kichwani
Mama dula kapika vitumbua asubuhiKichwani kuna medula obulangata
Mama dula kapika vitumbua asubuhi
Nimemtoa njeAsubuhi na mapema ndo nimemtoa
Nje ya mada hivi leo ni liniNimemtoa nje
Ni lini Lenie atakuja kwenye huu Uzi ?Nje ya mada hivi leo ni lini
Uzi huu kufika mwisho ni hamuna kwa kweliNi lini Lenie atakuja kwenye huu Uzi ?
Mimi ndio wa mwisho[emoji96] over!
Mwanamke amchaye Bwana ndiye atakayesifiwaOver ndo ovari ya mwanamke
Methali 31Mwanamke amchaye Bwana ndiye atakayesifiwa
Methali 31
Haba hujaza kibabaMethali methali:haba na haba
Haba hujaza kibaba
Kitambi kikubwa cha kufutia simu.Kibaba kina kitambi kikubwa
Kitambi kikubwa cha kufutia simu.
Tecno sio simu ni kifaa cha mawasilianoKufutia simu ya tecno
Mawasiliano ni kituo cha daladalaTecno sio simu ni kifaa cha mawasiliano
Daladala siku hizi ni level sitMawasiliano ni kituo cha daladala