fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,255
- 3,889
Nzuri ni tano kwa kua inawakilisha mengiTano au nne ipi namba nzuri?
Mengi ya dunia yanakatisha tamaaNzuri ni tano kwa kua inawakilisha mengi
Tamaa mwisho wake ni umautiMengi ya dunia yanakatisha tamaa
Umauti ndo mwisho wa ubrazaduu na usistaduuTamaa mwisho wake ni umauti
Usistaduu ni chanzo cha mimba za utotoniUmauti ndo mwisho wa ubrazaduu na usistaduu
Usistaduu ni chanzo cha mimba za utotoni
Kaskazini oyeee!
Izingatiwe hisabati
Hisabati somo rahisi sana
Maisha yamekua magumuSana yan nipo laivu na maisha
Magumu kweli ata ukiyashika tako ayashitukiMaisha yamekua magumu
Ayastuki kwa kuwa hujayashika vizuriMagumu kweli ata ukiyashika tako ayashituki
[emoji23][emoji23][emoji23]vizuri ukishika unaweza jikuta unatunukiwa tunda kimasihara"Ayastuki kwa kuwa hujayashika vizuri
Kimasihara TZ inakuwa na viongozi wote wa chama kimoja[emoji23][emoji23][emoji23]vizuri ukishika unaweza jikuta unatunukiwa tunda kimasihara"
Chama kimoja cha mapinduziKimasihara TZ inakuwa na viongozi wote wa chama kimoja