Mwaka gani sijui hii thread ilianzishwa, nalikumbukaMimba tena duuh hiyo kali ya nwaka
Nalikumbuka lile churaMwaka gani sijui hii thread ilianzishwa, nalikumbuka
Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
Chura mimi sinaNalikumbuka lile chura
Sina amani nisipokuonaChura mimi sina
Nisipokuona nashikwa na kiweweSina amani nisipokuona
Siasa zetu mbaya sanaHiyo ndio siasa
Mengi sana unaweza kufuga adi samakisana sana mademu wa kihaya wana maji mengi
Samaki sangara watamMengi sana unaweza kufuga adi samaki
Samaki sangara watam
Sasa ndio nini umeharibu uzi, bora ungeacha kama hujui mchezo unavyochezaMimi wa mwisho sasa
Unavyocheza kama messiSasa ndio nini umeharibu uzi, bora ungeacha kama hujui mchezo unavyocheza
Messi anakuzwa tu, lakini hajui kucheza mpiraUnavyocheza kama messi
mpira raha yake magoli
Sometimes huwa najiuliza huyo kwenye avatar ni wewe