Wapi? Nlilitupa huko nje ili usinywe tena pombeBox niliowekea chupa zangu za beer umeeka wapi ?
Pombe ni kitu napendaWapi? Nlilitupa huko nje ili usinywe tena pombe
Napenda kuwasihi vijana wewe na ustaarabu !!Pombe ni kitu napenda
Ustarabu ni kitu cha muhimuNapenda kuwasihi vijana wewe na ustaarabu !!
Muhimu kwa kila raia kujiandikisha !!Ustarabu ni kitu cha muhimu
Muhimu kwa kila raia kujiandikisha !!
Kujiandikisha kupiga kura
Kura ni kula ugali
Kesho kwa wazungu hukusudia (tomorrow never come) itakuwa kesho!!Lenie kakumiss, atakuja kesho
Kesho ni siku nyingine, kuiona ni majaaliwa ya MunguKesho kwa wazungu hukusudia (tomorrow never come) itakuwa kesho!!
Mungu hamtupi mja wake. Inuka usiku wa manane umuombe utaona maisha yanabadilika na utakuwa unaota ndoto nzuriKesho ni siku nyingine, kuiona ni majaaliwa ya Mungu
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Ndoto nzuri zenye manufaaMungu hamtupi mja wake. Inuka usiku wa manane umuombe utaona maisha yanabadilika na utakuwa unaota ndoto nzuri
Manufaa ya uzi huu ni kufaidika na maneno kuntu..Ndoto nzuri zenye manufaa
Sana mie ndiyo nguli wa msamiati....kuntu ni neno la kimsamiati sana
Msamiati wa neno kwiyo sijui ulitoka wapiSana mie ndiyo nguli wa msamiati....
Wapi nitamuona huyu bintiMsamiati wa neno kwiyo sijui ulitoka wapi
Binti kiziwiWapi nitamuona huyu binti
binti kiziwi wa jamii forum nampenda jamaniBinti kiziwi