MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Bint kiziwi wa jamii forum nampenda jamani
Hatulitumii ndiyo sababu linapunguza hadhi ya kiume/uanaume"Jamani" hili neno wanaume hatulitumii
Uanaume ni niniHatulitumii ndiyo sababu linapunguza hadhi ya kiume/uanaume
Wapi vipi hujui? Limetokana na neno la kiarabu "Msamiati wa neno kwiyo sijui ulitoka wapi
Nini hasa kinachosababisha upungufu wa nguvu za kiumeUanaume ni nini
Nini tofauti ya ujinga na upumbavu..?Uanaume ni nini
Upumbavu ni hatari sanaNini tofauti ya ujinga na upumbavu..?
Sana sana tuzingatie protokoli...Upumbavu ni hatari sana
Protokoli au protokali kipi ni kipiSana sana tuzingatie protokoli...
kipi kinachokulizaProtokoli au protokali kipi ni kipi
Kinachokuliza ni kitu cha kawaidakipi kinachokuliza
Kawaida ya waTZ wengi ni wapole..Kinachokuliza ni kitu cha kawaida
Kawaida ya waTZ wengi ni wapole..
Wakarimu ni wale yenye moyo wa kujitolea..Wapole na wakarimu
kujitolea ktk kazi furani ni bora sana kwanza unapata uzoefuWakarimu ni wale yenye moyo wa kujitolea..
Uzoefu utaupata huko huko, we kapige kazikujitolea ktk kazi furani ni bora sana kwanza unapata uzoefu
Kazi ni heshima iliyotukuka..Uzoefu utaupata huko huko, we kapige kazi
Kazi ni heshima iliyotukuka..
kupendeza ni pesa yako tuIliyotukuka na kupendeza
Yako tu je menginekupendeza ni pesa yako tu