dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Mkuu huyo jhumu yako, ambaye yupo humuJamaa yupi mkuu??
Hakuna jamaa wala nini mkuu.ukweli ni huwa sipendi mazoea ya kuitana wapenzi kwa kitu ambacho kiuhalisia hakipo.Mkuu huyo jhumu yako, ambaye yupo humu
Walosiriazi tafadhalini onesheni mfano wa tuwatambue..Hakuna jamaa wala nini mkuu.ukweli ni huwa sipendi mazoea ya kuitana wapenzi kwa kitu ambacho kiuhalisia hakipo.
Ndo mwanzo wa kuzibiana bahati bure kwa watu waliosiriazi.....😀😀
Wacha weeeeee😂😂😂😂Walosiriazi tafadhalini onesheni mfano wa tuwatambue..
Weee ngoja nitie nia kumbe jimbo lipo wazi[emoji2][emoji2]Wacha weeeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wazi mgongoni lakini usoni make-up !!Weee ngoja nitie nia kumbe jimbo lipo wazi[emoji2][emoji2]
Up and down "look at yourself"Wazi mgongoni lakini usoni make-up !!
Make up tena mimi nilisha changanyikiwa na zile lips zakeWazi mgongoni lakini usoni make-up !!
Zake Mwizi ni ArobainiMake up tena mimi nilisha chanyikiwa na zile lips zake
Arobaini ya Mkapa inafanyika Lini?Zake Mwizi ni Arobaini
Zake nyama kiunoni kila nikimtazama sipatii pichaMake up tena mimi nilisha chanyikiwa na zile lips zake
Lini Tanzania tutakuja kuwa na kiwanda cha simuArobaini ya Mkapa inafanyika Lini?
Arobaini elfi mia sita sabiniZake Mwizi ni Arobaini
Simulizi za wasafi fm kwenye story book hakuna jipya siku hiziLini Tanzania tutakuja kuwa na kiwanda cha simu
Hizi sio zile zama za Kiba na Diamond sasa ni Diamond na HarmonizeSimulizi za wasafi fm kwenye story book hakuna jipya siku hizi
Harmonize kaanguka leo pale kwa Mkapa [emoji38][emoji38][emoji38]Hizi sio zile zama za Kiba na Diamond sasa ni Diamond na Harmonize
Mkapa tulikuwa tushamsahau duh!binadamu tumeumbwa kusahauHarmonize kaanguka leo pale kwa Mkapa [emoji38][emoji38][emoji38]
Kusahau bongooo...acha utopoloooMkapa tulikuwa tushamsahau duh!binadamu tumeumbwa kusahau
Utopoloo leo nimeamini ni wananchi[emoji23]Kusahau bongooo...acha utopolooo
Wananchi leo walijazana sanaUtopoloo leo nimeamini ni wananchi[emoji23]