Wadogo zetu ni jukumu kwetu kuwafundisha fani na maadiliKondomu haziuzwi kwa watoto wadogo
Wadogo zetu ni jukumu kwetu kuwafundisha fani na maadili
Ummy nimezimia avatarMaadili yalishapotea kwenye hiki kizazi
Kizazi hakila'aniwi ni wajibu wetu kurekebisha..Maadili yalishapotea kwenye hiki kizazi.
Kurekebisha ni muhimu pale ulipokoseaKizazi hakila'aniwi ni wajibu wetu kurekebisha..
Ulipokosea patakugharimu usipo omba radhi
Radhi za wazee pekee ndio hupataUlipokosea patakugharimu usipo omba radhi
Hupata msisimko na sintofahamu ninapo hojiwa
Ninapo hojiwa huwa nipo very comfortableHupata msisimko na sintofahamu ninapo hojiwa
Comfortable ninapo kuwa ktk Swala ya ibada !!
Muhimu sana kutunza afya yako ili usije adhirika
Adhirika au athirika?Muhimu sana kutunza afya yako ili usije adhirika
Athirika ni kujeruhika/kukumbwa Bali adhirika ni kuaibika au kufedheheka !!
Kufedheheka kubaya sanaAthirika ni kujeruhika/kukumbwa Bali adhirika ni kuaibika au kufedheheka !!
Sana sana ulinielewa nilivyo tafsiri mfadahiko?