Mfadahiko = [emoji777]Sana sana ulinielewa nilivyo tafsiri mfadahiko?
Mfadhaiko !! Umenikuta bila kutarajia....
Kutarajia ugeni kama umekutaarifu ni sahihiMfadhaiko !! Umenikuta bila kutarajia....
Kwa nini kuvuta sigara ni jambo la kustaajabisha
Kustaajabisha kwa ambao hawajawahi kuona, ila sisi wengine ni kawaidaKwa nini kuvuta sigara ni jambo la kustaajabisha
Kawaida kwa vijana kufuata mkumboKustaajabisha kwa ambao hawajawahi kuona, ila sisi wengine ni kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
mkumbo wa kunywa pombe uliniathiri vibayaKawaida kwa vijana kufuata mkumbo
mkumbo wa kunywa pombe uliniathiri vibaya
Vibaya kuzidisha kilevimkumbo wa kunywa pombe uliniathiri vibaya
Kizuri endapo unakunywa kistaarabu
kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza
Chajitembeza, aka duka linalotembeakizuri chajiuza, kibaya chajitembeza
linalotembea? mbona mi sijawahi ona
utaona vile yanga anafungwa na kagera